
Maelezo
Domino mende killer ni dawa aina ya jeli ambayo imeshatayarishwa na ipo tayari kwa matumizi yenye viambato amilifu vya Fipronil. Dawa hiyo yenye kutumika katika mfumo wa chambo huvutia mende na haiwezi kusababisha mende kutengeza kinga juu ya dawa hiyo. Dawa hii pia ina athari ya domino, Kila mende aliyekufa ataliwa na mende wengine ambao pia watateketezwa. Kinadharia mende mmoja mwenye sumu anaweza kusababisha vifo vya mende wengine 1000.
Weka jeli yako katika nyufa au njia ambazo mende wanapatikana au wanapita kulingana na maelekezo yanayopatikana kwenye kipeperushi. Jeli itawekwa kiasi kidogo tu cha ukubwa kiasi ya punje ya nafaka, Itakuwa na ufanisi kwa zaidi ya miezi michache hivyo wakati mende wengine wanapoingia kupiti njia ileile na kuchukua chambo hicho wataangamizwa kabla ya kupatana nafasi ya kutengeza makaazi na kuongeze ka.

Description
Domino mende killer is ready to use gel with the active ingredient Fipronil. The bait is attractive to the cockroaches and there is no build up in resistance to the active ingredient. There is also the domino effect with this gel. Each dead cockroach will be eaten by the rest of the cockroaches which also will be effected. Theoretically one poisoned cockroach can lead to the death of 1000 others.
The gel must be placed along the usual routes of cockroaches movement according to the scheme indicated in the leaflet. In the form of drops the size of grain. It will be effective for more than a few months so when new specimens enter they will spread through the same routes and take the same bait and will be eliminated before the cockroaches have the chance to settle down.